Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Mohammed Mchengerwa akisalimiana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha bw.Seleman Msumi pamoja na Viongozi wengine mara alipowasili Wilayani Arumeru kwa ziara ya Kikazi leo tarehe 02.10.2024. Akiwa katika Halmashauri hiyo,Mhe.Mchengerwa alitembelea Shule ya Sekondari Kiutu na kuweka jiwe la msingi mradi wa ujenzi Majengo ya ghorofa
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.