Mkurugenzi Mtendaji, halmashauri ya Arusha, Seleman Msumi, anawatangazia Wananchi wote, kuwa zoezi la UPANGAJI WA ANWANI ZA MAKAZI KWA HALMASHAURI YA ARUSHA, Linaanza rasmi kesha, Hivyo Wananchi wote Mnatakiwa kutoa ushirikiano wa Kutosha kwa Watalamu watakaopita kwenye Makazi yenu kupata taarifa ili waweze kukamilisha Jukumu hilo la Kitaifa.Taarifa zinazotakiwa kwa Makazi/ Mwenye Nyumba ni kama zifuatazo:-
MWENYE NYUMBA AU MPANGAJI UNAKUMBUSHWA KUACHA TAARIFA ZAKO SAHIHI ZA ENEO LA MAKAZI KAMA HAUTAKUWEPO SIKU HIYO.
*****EWE MWANANCHI TOA USHIRIKIANO KWA MAENDELEO YA HALMASHAURI YAKO NA TAIFA KWA UJUMLA
**USIKIAPO TANGAZO HILI MTAARIFU NA MWINGINE!!!..***
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.