Na Elinipa Lupembe
IMkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha anapenda kuwatangazia waliofaulu Usaili wa nafasi za kazi ya Kada ya Katibu Mahususi III (3) pamoja na Kada ya Madereva II wanne (4) uliofanyika kwenye Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha tarehe 28.07.2022 hadi tarehe 30.07.2022 usahili wa mahojiano. Hivyo unatakiwa kuripoti Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Arusha ndani ya siku kumi na nne (14) tangu kutolewa kwa tangazo hili.
MAJINA YAMEAMBATANISHWA
BOFYA HAPA >>>>>>>>>>>>>>KUITWA KAZINI.docx
Sekei Road
Anuani ya posta: 2330 Arusha
Simu : +255 027 2502737
Simu: 073 65000476
Barua pepe: ded@arushadc.go.tz
Copyright ©2018 Arushadc . All rights reserved.