Halmashauri yapata ugeni kutoka Ubalozi wa Japani nchini Tanzania
Pichani Bi. Sayun Kon akiangalia (wakatikati)mchoro wa jengo la Manyire wa kwanza kulia ni Msimamizi wa Majengo halmashauri ya Arusha Peter Mhina na kulia ni Mganga Mkuu Halmashauri ya Arusha Dkt. Kazingo