Posted on: July 6th, 2025
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Arusha Seleman H. Msumi mapema hii Leo Tarehe 06.07.2025 amekabidhiwa Mwenge wa Uhuru, Wakimbiza Mwenge 6 Kitaifa, Wakimbiza Mwenge 6 Kimkoa Pamoja na FFU ...
Posted on: July 5th, 2025
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Arusha Bw. Seleman Msumi (Kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mh Nurdi Babu na Viongozi wengine walioshiriki katika mapokezi...
Posted on: July 5th, 2025
Mbio za mwenge wa uhuru 2025, utakimbizwa kilomita 165 na kupitia miradi nane (8) yenye thamani ya Shilingi 2,410,956,279.10
...