Posted on: May 12th, 2017
Wafugaji wa ng'ombe wa maziwa wa kata ya Kiutu halmashauri ya Arusha wamepatiwa mafunzo ya namna ya kuboresha koo za ng'ombe kwa njia ya uhawilishaji.
Mafunzo hayo yameandaliwa na Idara ya Mifugo n...
Posted on: May 4th, 2017
Mkutano wa Baraza la Madiwani wa kujadili taarifa za robo ya tatu kwa mwaka wa fedha 2016/2017 umefanyika leo tarehe 04.05.2017...
Posted on: May 2nd, 2017
Wajumbe wa Baraza la Madiwani halmashauri ya Arusha wamekubaliana kutoa ushirikiano mkubwa kwa wataalamu wa halmashauri ya Arusha katika kusimamia Miradi kwa kupitia Mfumo Mpya wa Ruzuku ya Serikali y...