Posted on: June 1st, 2018
Madiwani kutoka Kaunti ya Bungoma nchini Kenya, wamefurahishwa na kuridhishwa na hali ya usafi wa mazingira waliojionea wenyewe, kwenye maeneo waliyopita, wakiwa kwenye ziara yao ya mafunzo kwenye Hal...
Posted on: May 28th, 2018
Halmashauri ya Arusha imeadhimisha siku ya hedhi duniani huku jamii ikitakiwa kuvunja ukimya kwa kupaza sauti itakayoondoa usiri utakaomuwezesha mwanamke kuwa na mazingira bora yatakayomuwezesha kuwa ...
Posted on: May 23rd, 2018
Wanafunzi wa kidato cha nne shule ya sekondari Oldonyosambu wameanza kutumia chumba cha maabara ya somo la Kemia mara baada ya ukarabati wa chumba hicho kukamilika.
Wanafunzi hao wa kidato cha nne,...