Posted on: May 31st, 2024
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Arusha Bw. Seleman Msumi, ameshiriki mafunzo ya Ujasiriamali yaliyotolewa na shirika la hand in hand kwa lengo la kuwawezesha wanawake kuunda biashara endelevu.
...
Posted on: May 31st, 2024
Afisa Elimu Sekondari Menard Lupenza amefurahishwa na kitendo cha Wazazi kuchangia kupata Gari la Shule ya Sekondari Oldonyosambu.
'Nimefurahishwa mno, nimefurahishwa sana na jambo ambalo wazazi wa...
Posted on: May 31st, 2024
Mkurugenzi Mtendaji, Halmashauri ya Arusha, Seleman Msumi, amekabidhiwa Gari ya Shule ya Sekondari Oldonyosambu, kutoka kwa Wazazi. Mkurugenzi Msumi, amethibitisha kupokea gari la Shule ya Sekondari O...