Posted on: April 18th, 2019
Na. Elinipa Lupembe.
Viongozi wa jamii, halmashauri ya Arusha, wamesema kuwa kuna haja ya kutoa elimu kwa jamii yao, juu ya masuala ya afya zao, ili kuweza kujikinga na maambukizi ya magonjwa pamoj...
Posted on: April 11th, 2019
Na. Elinipa Lupembe.
Halmashauri ya Arusha, wilaya ya Arumeru imepata Hati Safi kwenye ukaguzi wa hesabu kwa mwaka wa nne mfululizo sasa.
Hati hiyo safi imepatikana kufuatia taarifa iliyotolewa ...
Posted on: April 9th, 2019
Na. Elinipa Lupembe.
Kufuatia uhusiano mzuri ya kirafiki, yaliyojengeka kati ya Tanzania na serikali ya watu wa Japani, Japani kupitia ubalozi wake nchini Tanzania, imeunga mkono juhudi za serikali...