Posted on: July 21st, 2022
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR - TAMISEMI) inawatangazia wananchi wote raia wa Tanzania wenye uwezo na sifa za kujaza nafasi za ajira za Kada za Afya 746 kwa ajili ya...
Posted on: July 20th, 2022
Na Elinipa Lupembe
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mama Samia Suluhu Hassan, amewanusuru kwa njaa watoto yatima, halmashauri ya Arusha kwa kutoa Kilo 500 za mchele kwenye vituo ...