Posted on: October 29th, 2018
Kufuatia agizo la serikali la kuunda mabaraza ya wazee katika halmashuri zote, halmashauri ya Arusha, wilayani Arumeru imetekeleza agizo hilo kwa kukamilisha mchakato wa kuunda mabaraza hayo na ...
Posted on: October 26th, 2018
Kufuatia tukio la ajali ya kutitia kwa choo katika shule ya msingi seliani, kata ya Kimnyaki, Halmashauri ya Arusha wilayani Arumeru mkuu wa wilaya hiyo Mheshimiwa Jerry Muro, ameendesha harambee ili ...
Posted on: October 23rd, 2018
Wananchi wa kijiji cha Loovilukuny kata ya Kisongo, halmashauri ya Arusha wilayani Arumeru, wameondokana na adha ya uhaba wa maji, iliyokuwa ikiwakabili kwa muda mrefu, mara baada ya kukamilika ...