Posted on: November 13th, 2022
Na Elinipa Lupembe
Mkurugenzi Mtendaji, halmashauri ya Arusha, Seleman Msumi, anawatakia kila la Kheri wanafunzi wote wanaofanya Mtihani wa Taifa wa kuhitimu kidato cha 4 unaoanza tarehe 14.11.2022...
Posted on: November 12th, 2022
Na Elinipa Lupembe
Maafisa Watendaji wa vijiji vitatu vya kata ya Laroi, wakisaini mkataba wa Lishe, tayari kwa kwenda kuutekeleza kwenye vijiji vyao.
Maafisa watendaji hao wamesainishwa  ...
Posted on: November 11th, 2022
Na Elinipa Lupembe
Halmashauri ya Arusha, imeanza mkakati wa kutekeleza mpango jumuishi wa Taifa wa kudhibiti Magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele, kwa watoto wenye umri wa kuanzia miaka 5 mpaka...