Posted on: May 8th, 2018
Mkurugenzi Mtendaji, anawatangazia wananchi wote kuhudhuria kwenye Mkutano wa Baraza la Madiwani la kuwasilisha taarifa za Kata, mkutano utakaofanyika kesho tarehe 09.05.2018 kwenye Ukumbi wa Mikutano...
Posted on: May 7th, 2018
Shirika la WaterAid Tanzania kwa kushirikiana na Halmashauri ya Arusha, wanawatangaza Zabuni ya Ujenzi wa mradi wa maji kwenye Vijiji vya Olkokola na Lengijave....
Posted on: May 4th, 2018
Hatimaye uendelezwaji wa ujenzi wa jengo la ghorofa moja, lenye vyumba sita vya madarasa shule ya sekondari Ilkiding'a umeanza baada ya ujenzi huo kusimama kwa muda mrefu.
Ingawa ujenzi wa jengo hi...