Posted on: July 26th, 2017
Watalamu wa halmashauri ya Arusha kwa kushirikiana na wataalamu Washauri wa Don Consult Ltd wamefanya Mkutano na viongozi wa serikali, wazee wa mila na koo, watu mashuhuri na wawakilishi wa wananchi w...
Posted on: July 27th, 2017
Madiwani wa kata 27 za halmashauri ya Arusha wamewasilisha taarifa za utekelezaji wa shughuli za maendeleo za kata zao kwa kipindi cha miezi mitatu kuanzia mwezi Aprili mpaka Juni 2017 katika Mkutano ...
Posted on: July 14th, 2017
Serikali kupitia Ofisi ya Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa madawati 400 kwa halmashauri ya Arusha kwa ajili ya kukabiliana na changamoto ya upungufu wa madawati katika shule za serikal...