Posted on: October 26th, 2018
Kufuatia tukio la ajali ya kutitia kwa choo katika shule ya msingi seliani, kata ya Kimnyaki, Halmashauri ya Arusha wilayani Arumeru mkuu wa wilaya hiyo Mheshimiwa Jerry Muro, ameendesha harambee ili ...
Posted on: October 23rd, 2018
Wananchi wa kijiji cha Loovilukuny kata ya Kisongo, halmashauri ya Arusha wilayani Arumeru, wameondokana na adha ya uhaba wa maji, iliyokuwa ikiwakabili kwa muda mrefu, mara baada ya kukamilika ...
Posted on: October 22nd, 2018
Zaidi ya shilingi milioni 296.4 za TASAF zimeanza kutekeleza miradi ya ujenzi wa miundombinu kwenye sekta ya Elimu na Afya katika kata za Bangata, Sambasha na Bwani, halmashauri ya Arusha wilaya...