Posted on: April 18th, 2018
Halmashauri ya Arusha kupitia Idara ya Mifugo imejipanga kuboresha uzalishaji wa ng'ombe bora wa maziwa kwa kutoa mafunzo kwa wafugaji ndani ya halmashauri.
Mikakati hiyo inafuatia teknolojia ya uh...
Posted on: April 16th, 2018
Timu ya wakaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka ofisi ya mkuu wa mkoa Arusha, imefanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa ndani ya halmashauri ya Arusha.
Kiongozi wa timu hiyo Kaimu...
Posted on: April 15th, 2018
Huu ndio muonekano mpya wa Kituo cha Afya Nduruma mara baada ya zoezi la upanuzi na ujenzi wa miundombinu ya kituo hicho kukamilika kwa zaidi ya asilimia 95% kuelekea kuanza kutumika kwa majeno mapya ...