Posted on: December 15th, 2017
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile amewataka wananchi kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii-CHF ili kuwa na uhakika wa kupata matibabu pindi wanapougua.
...
Posted on: December 13th, 2017
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Mashaka Gambo amewataka wakurugenzi wa halmashauri zote za mkoa wa Arusha kufanya maandalizi ya kutosha ya kuwapokea wanafuzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza...
Posted on: December 12th, 2017
Ujenzi wa Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Afya Nduruma unaendelea vizuri uko kwenye hatua ya kuweka bati kwenye majengo manne ambayo yameshapuliwa.
Majengo hayo yanejengwa kwa kutumia Force Account in...