Posted on: November 8th, 2022
Na. Elinipa Lupembe
Serikali ya awamu ya sita, inayoongozwa na Mhe. Samia Suluhu Hassan inaendelea na utekelezaji wa kuboresha huduma za afya nchini kwa kusogeza huduma za afya...
Posted on: November 6th, 2022
Na Elinipa Lupembe
Kaimu Meneja wa RUWASA wilaya ya Arumeru, Peter Maina, amesema kuwa serikali inaendelea kutoa fedha za upanuzi wa miradi ya miradi ya maji ambayo imeanza ili kufikia maeneo...
Posted on: November 6th, 2022
Na Elinipa Lupembe.
Mkuu wa wilaya ya Arumeru Mhandisi Richard Ruyango, ametoa salamu kwa wajumbe wa baraza la Madiwani kwa kuushukuru na kuupongeza uongozi wa halmashauri ya Arusha kwa juhudi kubw...