Posted on: December 12th, 2024
Maendeleo ya Uwanja wa Kisasa utakaotumika katika mashindano ya AFCON 2027,Uwanja huu utabadilisha mandhari ya Arusha na kuongeza chachu ya michezo pamoja na kukuza Utalii wa michezo Nchini Tanzania.
...
Posted on: December 11th, 2024
Wananchi wa Jimbo la Arumeru Magharibi wamejitokeza katika zoezi liloanza leo tarehe 11 hadi 17/12/2024 la kujiandikisha katika Daftari la Kuduma la Wapiga Kura kwa lengo la kupata Vitambulisho vitavy...
Posted on: December 10th, 2024
Afisa Mwandikishaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Jimbo la Arumeru Magharibi Bw. Seleman H. Msumi akifunga mafunzo ya Maafisa Waandikishaji wa Vituo na Waendesha vifaa vya Bayometriki.
...