Posted on: September 6th, 2025
Leo, tarehe 6 Septemba 2025, Shule ya Msingi Sekei imefanya mahafali ya darasa la saba ambapo wanafunzi waliokuwa wakihitimu wameaga rasmi ngazi ya elimu ya msingi. Hafla hiyo ilihudhuriwa na walimu, ...
Posted on: September 2nd, 2025
Mapema leo, Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Mheshimiwa Mwinyi Ahmed Mwinyi, amefanya kikao kazi na wakuu wa Taasisi mbalimbali za Umma zinazotoa huduma kwa wananchi wa Wilaya hiyo.
Kikao hicho kililenga...