Posted on: January 6th, 2023
Na Elinipa Lupembe
Jumla ya wanafunzi 156 wavulana 77 na wasichana 89 wamepangiwa kuanza kitado cha kwanza shule ya sekondari Likamba muhula wa masomo unaonza Januri 9, 2023 na kuifanya shule hiyo ...
Posted on: January 4th, 2023
Na Elinipa Lupembe
Mahakama ya Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha imemhukumu kifungo cha maisha, Bw. John Sanare Lukuaya (23) mkazi wa Kijiji cha Kimnyaki, Kata ya Kimnyaki, halmasahuri ya Arush...
Posted on: January 3rd, 2023
KURUGENZI YA MAWASILIANO IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza maamuzi ya serikali ya kuondoa zuio la vyama vya Siasa kufanya mikutano ya had...