Posted on: September 3rd, 2022
Na Elinipa Lupembe
Serikali imekanusha taarifa za uzushi zilizotolewa kuhusu tarehe ya shule kufunguliwa iliyotolewa na baadhi ya watu wasiokuwa na nia njema na sekta ya elimu nchini.
T...
Posted on: September 2nd, 2022
Na Elinipa Lupembe
Polio ni Ugonjwa unaosababishwa na kirusi cha Polio, ambacho huenezwa kwa kula chakula na kunywa maji yaliyochafuliwa na kinyesi cha mtu mwenye maambukizi ya ugonjwa huo.
Ugon...
Posted on: September 1st, 2022
Na Elinipa Lupembe
Kufuatia mkakati wa Serikali wa kutokomeza ugonjwa wa Polio nchini, wilaya ya Arumeru yenye halmashauri za Arusha na Meru, inatekeleza mkakati huo kwa kutoa chanjo ya Polio kwa w...