Posted on: March 23rd, 2017
Halmashauri ya Arusha kupitia Idara ya Ujenzi inafanya ukarabati wa kawaida kwenye barabara ya Mianzini – Timbolo yenye urefu wa kilomita nane kuhakikisha barabara hiyo inapitika kwa vipindi vyote....
Posted on: March 23rd, 2017
Hamashauri ya Arusha inatekeleza kampeni ya kunawa mikono mara baada ya kutocha chooni kwa kujenga vyoo bora vyenye eneo la kunawia mikono katika shule za msingi....
Posted on: March 23rd, 2017
Wanawake wa Halmashauri ya Arusha wameungana na wanawake wenzao duniani kusherehekea siku ya wanawake duniani inayoadhimishwa tarehe 8 Machi kila mwaka.
Maadhimisho hayo yenye kauli mbiu ya T...