Posted on: February 20th, 2021
Na Elinipa Lupembe.
.Vijana shule ya sekondari Mukulat, halmashauri ya Arusha, wamekiri kuwa na ndoto na malengo makubwa katika maisha yao ya sasa na yajayo, lakini wametambua vikwazo na changamoto...
Posted on: February 18th, 2021
Na.Elinipa Lupembe.
Serikali imeendelea kuimarisha maisha ya wananchi wenye kipato cha chini, kupitia ruzuku ya fedha zinazotolewa kwa wananchi masikini, walio kwenye mpango wa Kunusu Kaya Masikini...
Posted on: February 16th, 2021
Na. Elinipa Lupembe.
Mkurugenzi Mtendaji halmashauri ya Arusha, Saad Mtambule, amewataka watumshi, halmashauri ya Arusha, kuendelea kufanya kazi kwa bidii, na kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia...