Posted on: November 1st, 2021
Na. Elinipa Lupembe
Halmashauri ya Arusha imetoa fedha, kiasi cha shilingi miloni 384 kwa vikundi 50 vya Wanawake, na Vijana, pamoja na watu wawili wenye Ulemavu, ikiwa ni utekelezaji wa maagizo ya...
Posted on: October 28th, 2021
Na. Elinipa Lupembe.
MAAGIZO YA DC ARUMERU KWA WAJUMBE WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI.
"Waheshimiwa Madiwani mnalo jukumu la kuhamasisha wananchi katika maeneo yenu, kushiriki zoezi la Sensa ...
Posted on: October 27th, 2021
Mkurugenzi Mtendaji, halmashauri ya Arusha Seleman Msumi, anawatakia mtihani mwema wanafunzi wote wanaofanya Mtihani wa Taifa wa Upimaji darasa la 4 mwaka 2021, mtihani unaofanyika kwa siku mbili tare...