Posted on: October 18th, 2022
Na Elinipa Lupembe.
Wananchi wa kata ya Laroi halmashauri ya Arusha, wamefanya uzinduzi wa Miongozo ya Elimu iliyotolewa na serikali, huku kina mama wa kata ya hiyo, wakiipongeza serikali ya ...
Posted on: October 18th, 2022
Halmashauri ya Arusha imeadhimisha siku ya Kimataifa ya Mtoto wa kike, kwa wasichana wanafunzi vinara wa kupinga ukatili nyumbani na shuleni kutoka shule 8 za halmashauri hiuo kufanya maandamani...
Posted on: October 17th, 2022
Leseni zote za Biashara hutolewa chini ya Sheria ya Biashara Na. 25 ya mwaka 1972 na marekebisho yake yaliyofanyika mwaka 2014.
Mwombaji wa Leseni ya biashara anapaswa ajaze fomu ya maombi...