Posted on: August 31st, 2018
Mkuu wa wilaya ya Arumeru mheshimiwa Jerry Muro amewataka maafisa ugani wa wilaya ya Arumeru kushirikiana kwa karibu na Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania 'Tanzania Agricultural Reseach Institute -...
Posted on: August 30th, 2018
Somo la teknolojia ya Habari na Mawasiliano TEHAMA limezidi kuimarika katika shule za sekondari 14 za halmashauri ya Arusha baada ya wafadhili kusimamia na kutoa kompyuta kwa shule hizo.
Uimara huo...
Posted on: August 29th, 2018
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Mheshimiwa Jerry Muro, leo amefungua mkutano wa wabobezi wa utafiti katika ukanda wa Africa Mashariki 'The Eastern Africa Research and Innovation Management Association, Tan...