Posted on: April 16th, 2018
Timu ya wakaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka ofisi ya mkuu wa mkoa Arusha, imefanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa ndani ya halmashauri ya Arusha.
Kiongozi wa timu hiyo Kaimu...
Posted on: April 15th, 2018
Huu ndio muonekano mpya wa Kituo cha Afya Nduruma mara baada ya zoezi la upanuzi na ujenzi wa miundombinu ya kituo hicho kukamilika kwa zaidi ya asilimia 95% kuelekea kuanza kutumika kwa majeno mapya ...
Posted on: April 14th, 2018
Jumla ya wazee 61 wa kata ya Kiutu kati ya wazee 692 wa halmashauri ya Arusha wamepata uhakika wa matibabu baada ya kukabidhiwa kadi za matibabu za Mfuko wa Afya ya Jamii 'CHF', zoezi liliofanyika kwe...