Posted on: July 27th, 2017
Madiwani wa kata 27 za halmashauri ya Arusha wamewasilisha taarifa za utekelezaji wa shughuli za maendeleo za kata zao kwa kipindi cha miezi mitatu kuanzia mwezi Aprili mpaka Juni 2017 katika Mkutano ...
Posted on: July 14th, 2017
Serikali kupitia Ofisi ya Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa madawati 400 kwa halmashauri ya Arusha kwa ajili ya kukabiliana na changamoto ya upungufu wa madawati katika shule za serikal...
Posted on: July 12th, 2017
Wajumbe wa Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango halmashauri ya Arusha wameendelea kuridhishwa na kasi ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika halmashauri wakati wa ziara ya siku mbi...