Posted on: March 15th, 2023
Walengwa wa TASAF walio kwenye mpango wa Kunusuru kaya Masikini kijiji cha Lemong'o kata ya Oldonyosambu, wakipatiwa mafunzo ya uundaji wa vikundi vya kuweka akiba, kuwekeza na kukopeshana.
...
Posted on: March 22nd, 2023
Na Elinipa Lupembe
Ujenzi wa Kituo cha walimu Klasta ya Ilkurot kata ya Lengijave umeanza ukiwa katika hatua za awali za msingi.
Ujenzi huo utakaogharimu shilingi milioni 20, fedha kuto...
Posted on: March 21st, 2023
Na Elinipa Lupembe
Serikali ya awamu ya sita kupitia Mfuko wa Maendleeo ya Jamii (TASAF) imefanikisha ujenzi wa Zahanati mpya Kijiji cha Engutukoit Kata ya Oldonyowas Halmashauri ...