Posted on: December 22nd, 2022
Na Elinipa Lupembe
Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluh Hassan imewahakikishia wanafunzi 7,856 walifaulu mtihani wa darasa la saba mwaka 2022 sawa na asilimia ...
Posted on: December 18th, 2022
WAZIRI MKUU Mhe. Kassim Majaliwa amewataka watumishi kwenye Halmashauri zote nchini kutenga muda wa siku tatu kati ya siku za kazi kwenda vijijini ili kutatua changamoto za wananchi.
Amese...
Posted on: December 17th, 2022
Na Mwandishi Wetu - Dar es Salaam
OFISI ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, imeshika nafasi ya pili kati ya Wizara 10 bora kutoa habari kwa umma.
Tuzo hizo zilizokabidhiwa na ...