Posted on: October 1st, 2019
Na. Elinipa Lupembe.
Ubalozi wa Japan nchini Tanzania, umeridhishwa na uyekelezaji wa mradi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa shule ya sekondari Sokon II, halmashauri ya Arusha, wilayani Arumeru.
...
Posted on: September 25th, 2019
"Serikali ya awamu ya tano, kupitia Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia, imeamua kutumia kiasi cha shilingi milioni 150 kujenga Ofisi ya Uthibiti Ubora Shuleni, halmashauri ya Arusha, ikiwa na lengo...
Posted on: September 24th, 2019
Na. Elinipa Lupembe.
MAELEKEZO YA UCHAGUZI KWA MAMLAKA YA MJI MDOGO NGARAMTONI.
(Yametolewa chini ya Kanuni ya 8)
Kwa mujibu wa kanuni za Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kitongoji katika Mamlaka za...