Posted on: May 3rd, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru, Mhandisi Richard Ruyango, anawatakia Waislam na Wananchi wote, Kheri ya Sikukuu ya Eid al Fitr."
TUSHEREKEE KWA AMANI NA UTULIVU"
EID MUBARAK...
Posted on: May 3rd, 2022
Mwenyekiti Halmashauri ya Arusha, Mheshimiwa Ojung'u Salekwa, anawatakia Waisalam na Wananchi wote, Kheri ya Sikukuu ya Eid al Fitr.
"TUSHEREKEE KWA AMANI NA UTULIVU"
EID MUBARAK...
Posted on: May 4th, 2022
Na. Elinipa Lupembe.
Mama Samia azikumbuka TRC ARUSHA DC.Serikali ya awamu ya sita, inayoongozwa na Mheshimiwa Rais mama Samia Suluhu, kupitia Wiazara ya Elimu, imevikumbuka vituo vya walimu 'Teach...