Posted on: October 16th, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.Mrisho Gambo anategemea Kuzindua Kampeni ya Chanjo ya Ugonjwa wa Polio na Surua -Rubela kwa watoto wenye umri wa kuanzia miezi 9 mpaka miaka 5.
Uzindizi huo utaf...
Posted on: October 9th, 2019
Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Arusha, Mwl. Hossein Mghewa, anawakumbusha wananchi wote kujiandikisha kwenye Orodha ya Wapiga Kura, Zoezi linaendelea mpaka tarehe 14/10/2019.
Tumia vi...
Posted on: October 9th, 2019
Na. Elinipa Lupembe.
Wananchi wa kijiji cha Losinoni Juu kata ya Oldonyowas, halmashauri ya Arusha, wilaya ya Arumeru, wamepata utatuzi wa changamoto ya Vifo vya kinamama na watoto wakati wa kujifu...