Posted on: July 1st, 2018
UTEUZI:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Djkt John Pombe Magufuli, amefanya mabadiliko madogo kwenye Baraza la Mawairi.
Mabadiliko hayo ni kama ifuatavyo:-
Kangi Lugola - Waziri wa Ma...
Posted on: June 30th, 2018
Na. Elinipa Lupembe.
Jumla ya Miradi miwili ya Elimu iliyotekelezwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF imezinduliwa huku mradi mmoja ukitatua changamoto wa walimu kutembea umbali mrefu na kuishi ...
Posted on: June 29th, 2018
Na. Elinipa Lupembe.
Zoezi la kufanya tahmini ya matokeo makubwa sasa (Big Result Now 'BRN'), kwenye vituo vyote vya kutolea huduma za afya halmashauri ya Arusha limekamilika, huku halmashauri hiyo...