Posted on: November 15th, 2017
Wataalamu wasimamizi wa mradi wa maji wa vijiji vitanao unaotekelezwa na shirika la WaterAid wamefanya Mkutano wa wananchi wa Kitongoji cha Seuri kata ya Olturumet kwa ajili ya kufanya makubaliano ya ...
Posted on: November 15th, 2017
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Arusha Dk. Wilson Mahera amekutana na wadau wa shirika la Water Mission na kufanya mazungumzo Ofisini kwake leo asubuhi, wadau hao wameonesha nia ya kushirikia...
Posted on: November 13th, 2017
Jumla ya Wanafunzi 6,506 wa kidato cha pili katika shule 49 za sekondari halmashauri ya Arusha wameanza leo mitihani ya taifa mwaka 2017.
Afisa Vifaa na Takwimu Halmashauri ya Arusha mwalimu Philip...