Posted on: April 10th, 2018
Msamaria mwema na mwanzilishi wa shirika la kulelea watoto yatima la Neema Village, bwana Michael Fortson ametoa msaada wa vifaa maalum kwa ajilili ya walemavu wa ngozi, katika halmashauri ya Arusha. ...
Posted on: April 9th, 2018
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Kapt (MST) George Mkuchika ametoa Kauli ya Serikali Bungeni leo, kuhusu watumishi walioondolew...