Posted on: January 29th, 2018
Mheshimiwa Penina Mollel ameapishwa rasmi kuwa mjumbe wa Baraza la Mamlaka ya Mji Mdogo Ngaramtoni wakati wa Mkutano wa robo la robo ya pili la Mamlaka hiyo kwa mwaka wa fedha 2017/2018.
Zoezi la k...
Posted on: January 27th, 2018
Wananchi na wakazi wa Kata ya Nduruma wameshiriki kwa hiari kwenye ujenzi wa Miundo mbinu ya Kituo cha Afya kama mchango wao katika ujenzi wa kituo chao cha Afya.
Akizungumza mbele ya wajumbe...
Posted on: January 26th, 2018
Mwenyekiti wa halmashauri ya Arusha mheshimiwa Noah Lembris amewataka wataalam wa ngazi za vijiji na kata kutumia muda zaidi kujifunza matumizi ya 'Force Akaunti' katika utekelezaji wa miradi ya maend...