Posted on: November 16th, 2022
Na Elinipa Lupembe
Maendeleo ya ujenzi ya chumba 1 cha darasa shule ya Sekondari Bangata yako hatua ya ukamilishaji
Mradi huu unajumuisha chumba 1 cha darasa, viti na meza 40 , kwa gharama...
Posted on: November 16th, 2022
Na Elinipa Lupembe
Maendeleo ya ujenzi ya vyumba 2 vya madarasa, shule ya Sekondari Olturoto uko hatua ya kupandisha kuta.
Mradi huu unajumuisha vyumba 2 vya madarasa, viti na meza 80 kwa gh...
Posted on: November 16th, 2022
Na Elinipa Lupembe
Mkuu wa mkoa wa Arusha John Mongela ameagiza waliojenga nyumba ndani ya mita 10 za barabara ya Mianzini , Timbolo, Sambasha hadi Ngaramtoni, kubomoa nyumba zote hizo, kabla...