Posted on: March 27th, 2023
Na Elinipa Lupembe
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Emmanuela Mtatifikolo Kaganda amewatoa hofu wananchi wa wilaya hiyo kuwa, hakuna mtu aliyepoteza maisha kufuatia mvua kubwa iliyonyesha usiku...
Posted on: March 24th, 2023
Na Elinipa Lupembe
Mkuu wa wilaya ya Arumeru Mhe. Emanuela Kaganda ameongozana na Mwenyekiti wa CCM wiliaya ya Arumeru Noah Severe kuwatembelea wahanga wa mvua kubwa maeneo ya kata ya Oloi...
Posted on: March 24th, 2023
Na Elinipa Lupembe
Mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia tarehe 23.03.2023 imesababisha uharibufu mkubwa kwa wananchi wa maeneo ya Ngaramtoni.
Jumla ya kata tano za Oloirien, Olmotony...