Posted on: June 5th, 2023
KARIBU watu 172,000 walijitokeza kuomba nafasi za ajira 21, 200 zilizotangazwa na Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa kada za Ualimu na Afya, serikali imesema.
...
Posted on: June 5th, 2023
Na Elinipa Lupembe
Wananchi wa kijiji cha Lemanda kata ya Oldongosambu wamemshukuru Mhe. Rais mama Samia Suluhu Hassan kwa kuwapa mradi wa ujenzi wa shule mpya ya msingi kijijini kwao.
Wakizungu...
Posted on: June 2nd, 2023
Na Elinipa Lupembe
Halmahauri ya Arusha imeadhimisha Juma la Elimu 2023 kwa kutoa tuzo kwa walimu na wadau wa elimu wanaochangia kukuza taaluma na kuongeza kiwango cha ufaulu kwa shule za msi...