Posted on: June 4th, 2024
Katibu Mkuu wa CCM Taifa,Balozi Dkt.Emmanuel Nchimbi akisikiliza kero za Wananchi wa eneo la Kisongo wakati wa ziara yake Mkoa Arusha akiwa ameambana na Katibu wa NEC- Uenezi,Itikadi na Mafunzo ndugu ...
Posted on: May 31st, 2024
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Arusha Bw. Seleman Msumi, ameshiriki mafunzo ya Ujasiriamali yaliyotolewa na shirika la hand in hand kwa lengo la kuwawezesha wanawake kuunda biashara endelevu.
...
Posted on: May 31st, 2024
Afisa Elimu Sekondari Menard Lupenza amefurahishwa na kitendo cha Wazazi kuchangia kupata Gari la Shule ya Sekondari Oldonyosambu.
'Nimefurahishwa mno, nimefurahishwa sana na jambo ambalo wazazi wa...