Posted on: March 29th, 2018
Mama Leah Long'idu (70) amechaguliwa kuwa makamu mwenyekiti wa Bodi ya maji ya mamlaka ya maji Ngaramtoni (NGAUWSA), uchaguzi uliofanyika wakati wa mkutano mkuu wa kwanza wa bodi, tangu kuzinduliwa kw...
Posted on: March 28th, 2018
Halmashauri ya Arusha imezindua siku ya upandaji miti kitaifa, huku ikiwa imejipanga kutoa miche ya miti bure kwa wananchi na taasisi ndani ya halmashauri hiyo.
Akizungumza wakati wa zoezi la...
Posted on: March 27th, 2018
Wajumbe wa bodi mpya ya Mamlaka ya Maji Ngaramtoni (NGAUWSA) wametakiwa kuweka mikakati thabiti ya kupatikana kwa lita milioni 4.2 za maji, zinazotakiwa kutumika kwa siku moja na wakazi wa Mamlaka ya ...