Posted on: August 31st, 2022
Na Elinipa Luoembe
Jumla ya watoto 88, 628 wenye umri wa chini ya miaka 5, wanategemea kupatiwa chanjo ya matone dhidi ya ugonjwa wa Polio kwa awamu ya tatu, inayotegemea kufanyika kwa siku 4, &nbs...
Posted on: August 30th, 2022
Je Karani wa Sensa hajakufikia?
Piga Simu kwa namba zifuatazo:-
DC ARUMERU - 0784 432 090
DED ARUSHA DC -0787 559 025
MRATIBU WA SENSA - 0713 510 413
HakikishaUmehesabiwa kabla...
Posted on: August 28th, 2022
Na Elinipa Lupembe.
Mtalamu ufuatiliaji kutoka Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF makao makuu, Judith Masika, amewasilisha utaratibu na maelekezo ya Serikali kupitia TASAF, wa kuanza mchakato maalum...