Posted on: August 7th, 2024
Mkutano wa Baraza la Kawaida la Halmashauri ya Arusha likiendelea na kikao chake leo tarehe 07/08/2024 katika ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri hiyo. Wakwanza kushoto ni Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo...
Posted on: August 6th, 2024
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Arusha,bwana Seleman Msumi akitembelea mabanda ya Kilimo, Mifugo pamoja na mabanda ya wajasirimali wengine kwenye Maonyesho ya Nane Nane 2024 yanayofanyika katika Viwanja ...