Posted on: October 4th, 2019
Vijana wa shule ya sekondari Musa, halmashauri ya Arusha, wameweka wazi kuwa, uelewa mdogo wa jamii hasa wazazi, juu ya afya ya uzazi, imekuwa ni chanzo cha ndoa na mimba nyingi za utotoni.
Wakizun...
Posted on: October 4th, 2019
Jiunge na BIMA ya Afya Iliyoboreshwa, kwa gharama ya TSH. 30,000/= tu.
BIMA ya Afya Iliyoboreshwa inatoa nafasi za matibabu kwa sita (6) wa kaya moja na kutibiwa kwenye Zahanati, Kituo cha Af...
Posted on: October 3rd, 2019
Wajumbe wa ALAT Mkoa wa Arusha, wamewapongeza wananchi wa halmashauri ya Arusha kwa jitihada zao kubwa za kuchangia miradi ya maendeleo katika vijiji vyao.
Wajumbe hao wametoa pongezi hizo, walipot...