Posted on: April 25th, 2023
Kuelekea Maadhimisho ya miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Mkuu wa mkoa wa Arusha, Mhe. John V.K Mongela atazindua mradi wa ujenzi wa nyumba ya mwalimu shule ya msingi Olemedeye ...
Posted on: April 24th, 2023
Na Elinipa Lupembe.
Mkurugenzi Mtendaji, halmashauri ya Arusha, Seleman Msumi, amekanidhiwa gari lenye namba za usajili STM 5616, kutoka kwa Afisa Elimu Sekondari mara baada ya kukabidhiwa gari hil...
Posted on: April 20th, 2023
Kuelekea maadhimisho ya miaka 59 ya Muungano, wa Tanganyika na Zanzibar 2023, halmashauri ya Arusha, imezindua siku hiyo kiwilaya, kwenye shule ya sekondari Mringa kata ya Oloirieni.
Uzind...