Posted on: November 30th, 2022
Na Elinipa Lupembe
Hatimaye Shule ya sekondari Bangata, imekamilisha ujenzi wa chumba kimoja cha darasa, mradi uliogharimu kiasi cha shilingi milioni 20 fedha kutoka Serikali Kuu, ikiwa ni...
Posted on: November 29th, 2022
Na Elinipa Lupembe
Maendeleo ya ujenzi ya vyumba 4 vya madarasa shule ya Sekondari Einoth, umefikia hatua za mwisho za umaliziaji.
Mradi huu unajumuisha vyumba 4 vya madarasa, viti na meza 80 pa...
Posted on: November 28th, 2022
Na Elinipa Lupembe
Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewaahidi wananchi wa Kisongo kuwasiliana na Wizara ya maji kuona namna ya kuunganisha mradi wa maji wa ...