Posted on: January 5th, 2018
Takribani kaya 3,894 zenye wastani wa watu wa tano kwa kaya katika halmashauri ya Arusha wilayani Arumeru zinategemewa kunufaika na huduma za afya mara baada ya upanuzi wa miundo mbinu ya kituo cha Af...
Posted on: January 4th, 2018
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mheshimiwa Selemani Jafo ameshauri kujengwa jengo jipya la upasuaji katika kituo cha Afya Nduruma na kuamurujengo la upasuaji lililopo...
Posted on: December 15th, 2017
Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Idd Kimanta ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Monduli amepokea msaada wa madawati 740 kwa shule 13 za Wilaya ya Arumeru zinazozunguka shamba hilo kwa lengo la kutatua changam...