Posted on: May 29th, 2017
Halmashauri ya Arusha yakabidhi seti themanini za ndoo maalum za kuchujia maji ya kunywa kwa lengo la kupunguza makali ya Floraidi kwa kaya themanini katika kijiji cha lemanda kata Oldonyosambu...
Posted on: May 15th, 2017
Watu wanne wa familia moja kati ya watano waliofariki baada ya nyumba waliokua wamelala kuangukiwa na mti katika kijiji cha Ng'iresi kata ya Sokon II wamezikwa kijijini kwao Ng'iresi. ...
Posted on: May 12th, 2017
Wafugaji wa ng'ombe wa maziwa wa kata ya Kiutu halmashauri ya Arusha wamepatiwa mafunzo ya namna ya kuboresha koo za ng'ombe kwa njia ya uhawilishaji.
Mafunzo hayo yameandaliwa na Idara ya Mifugo n...